Thursday, December 8, 2011

MKAKATI WA KUTUUA WALIUANZA ZAMANI, KISA…AFRIKA NI TISHIO KWAO

Naanza makala yangu hivi, “Our African borther Kanali Muamar Gadafi aliuwawa kwa sababu alikuwa katika harakati za mwisho za kuiunganisha Afrika”. Mnamo tarehe 20 Oktoba, saa saba mchana nikiwa darasani nafundisha wanafunzi wangu wa mwaka wa pili katika kozi ya mawasiliano ya umma nilipokea ujumbe kupitia simu yangu ya kiganjani ikisema hivi, “BREAKING NEWS:GADAFI NO MORE”.Na usiku wake vyombo vyote vya habari vya Tanzania vikaanza ushabiki wa kuripoti kifo cha kanali bali kutoa uchambuzi pevu wa kifo cha brother huyo. Matamko ya kinafiki kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kiafrika yalianza kumiminika mithili ya mabomba yamaji yaliyong’olewa koki. Tumepokea kifo cha Gadafi kwa mshituko na masikitiko makubwa. Walikuwa wapi kumsaidia? Wizi Mtupu.






















Kumbe kunahaja ya viongozi wetu kujiongeza

4 comments:

REHEMA KIJONJO said...
This comment has been removed by the author.
REHEMA KIJONJO said...
This comment has been removed by the author.
REHEMA KIJONJO said...

kitu kimoja ambacho serikali zetu za africa hazikutambua ni kusimama wenyewe bila kutegemea hawa watu wa magharibi ndio maana wameshindwa kumsaidia Kanali Ghadaf lakini soon or later watakumbuka umuhimu wake na jinsi alivyokuwa akiwasisitza kuaachana na watu hawa wasiojali bara la afrika

REHEMA KIJONJO said...
This comment has been removed by the author.